Mwanamuziki wa Peter Msechu ambaye aliwahi kuvuma katika shindano la Bongo Super Star mwaka 2009, na baadaye kuchalia kuwania katikka mashindano Tuskaer Project fame mwaka jana nchini Kenya atachuana vikali na mwanamuziki mwenzake toka Tanzania Hemed katika Tamasha hilo la Tusker Project Fame All Star 2011
