Tuesday, March 22, 2011
WANAMUZIKI 12 WA KUNDI LA 5 STAR MODERN TAARAB WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
Mashabiki wa kundi la 5 stars modern taarab na watanzania kwa ujumla, usiku wa kuamkia leo walipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za ajali mbaya ya gari iliyosababisha vifo vya wanamuziki 12 wa kundi hilo.
Ajali hiyo ambayo ilitokea katika barabara yairinga katika hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani morogoro majira ya saa mbili usiku.
Mavuvuzela inatoa mkono wa pole kwa wanafamilia wote waliopoteza ndugu zao ktk ajali hiyo, na inawaombea majeruhi wapone haraka
Mungu Azilaze Roho Za Marehemu Mahala Pema Peponi Aamin...
Ajali hiyo ambayo ilitokea katika barabara yairinga katika hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani morogoro majira ya saa mbili usiku.
Mavuvuzela inatoa mkono wa pole kwa wanafamilia wote waliopoteza ndugu zao ktk ajali hiyo, na inawaombea majeruhi wapone haraka
Mungu Azilaze Roho Za Marehemu Mahala Pema Peponi Aamin...
Monday, March 21, 2011
ALADDIN LYRICS BY JUMA20
VERSE I:
Huko mjini matapeli ni kibao
nitakushangaa kama utazuzuka nao
thamani yako zaidi ya nyota na sayari mamaa
wafalme wote wanataka uende kwao
wahonge ngamia hata na farasi zao
wanitupe kwenye gereza hatari sana
mikono juu wanifunge
wanitandike mijeledi yao
wawe nawe tu wakuhonge
akili yako usipeleke kwao (x2)
mamaa...uuhh mamaa ohooo
CHORUS:
sugua kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
sugua sugua sugua sugua tena
mwambie upesi mimi aje niokoa
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea (x2)
VERSE II:
Adhabu kali wakinipa mara saba
nitavumilia mfano wa ali baba
najificha kwenye mitungi mikubwa sana
penzi lako si dhahabu wala shaba
halistahiki kupewa kwa mla riba
turuke tusafiri tuende mbali sana
mikono juu wanifunge
wanitandike mijeledi yao
wawe nawe tu wakuhonge
akili yako usipeleke kwao (x2)
mamaa...uuhh mamaa ohooo
CHORUS:
sugua kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
sugua sugua sugua sugua tena
mwambie upesi mimi aje niokoa
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea (x2)
papaa haled tolber!!
mzee wa rubber band
SMS nakuona
Dubila dubila dubila dubila eh!
Dubila dubila dubila dubila eh!
Dubila dubila dubila dubila eh!
Dubila dubila dubila dubila eh!
END
Huko mjini matapeli ni kibao
nitakushangaa kama utazuzuka nao
thamani yako zaidi ya nyota na sayari mamaa
wafalme wote wanataka uende kwao
wahonge ngamia hata na farasi zao
wanitupe kwenye gereza hatari sana
mikono juu wanifunge
wanitandike mijeledi yao
wawe nawe tu wakuhonge
akili yako usipeleke kwao (x2)
mamaa...uuhh mamaa ohooo
CHORUS:
sugua kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
sugua sugua sugua sugua tena
mwambie upesi mimi aje niokoa
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea (x2)
VERSE II:
Adhabu kali wakinipa mara saba
nitavumilia mfano wa ali baba
najificha kwenye mitungi mikubwa sana
penzi lako si dhahabu wala shaba
halistahiki kupewa kwa mla riba
turuke tusafiri tuende mbali sana
mikono juu wanifunge
wanitandike mijeledi yao
wawe nawe tu wakuhonge
akili yako usipeleke kwao (x2)
mamaa...uuhh mamaa ohooo
CHORUS:
sugua kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea
sugua sugua sugua sugua tena
mwambie upesi mimi aje niokoa
kibuli kibuli kibuli cha aladdin
kibuli kibuli kibuli atatokea (x2)
papaa haled tolber!!
mzee wa rubber band
SMS nakuona
Dubila dubila dubila dubila eh!
Dubila dubila dubila dubila eh!
Dubila dubila dubila dubila eh!
Dubila dubila dubila dubila eh!
END
Saturday, March 19, 2011
FAMILIA YAKERWA NA KIPINDI CHA TELEVISHENI CHA T.I
Familia moja huko nchini marekani imekijia juu kituo cha televisheni cha MTV kushirikia na rapa T.I katika kuonyesha picha za mwili wa kijana wao ambae ameuawa na watu wasio juulikana.
Picha hizo za video ambazo zilionyeshwa katika kipindi cha ukweli halisia cha rapa huyo ambacho kinafahamika kwa jina la T.I.'s Road To Redemption zinasemekana kuwaumiza mno wana familia wa kijana Joseph William ambapo uchukuaji wa picha hizo umefanyika february 2009 katika kipindi cha mazishi yake.
wanafamilia hao walitinga kwa mabosi wa MTV na kuelezea ni jinsi gani waliumizwa na rapa huyo kumwita mtoto wao "hustler" na kuzitumia picha za mwili wake kuzionyesha katika kipindi hicho bila ridhaa yao, na kwamba wamepanga kumlipisha fidia T.I kwa kufanya kitendo kinachoamsha msongo wa mawazo kwao.
SHAKIRA ASHIRIKIANA NA RAIS WA BRAZIL KUWASAIDIA WATOTO WA TAIFA HILO
Mwanamuziki machachari toka Colombia shakira, pamoja na rais wa brazil Dilma Rousseff wamejiunga pamoja kuwasaidia watoto wa nchi hiyo katika masuala ya elimu na makaazi bora.
shakira ambae alikutana na rais Rouseff kwa muda wa dakika 20 katika tamasha kubwala muziki nchini humo na kuamua kuzungumzia mradi wake wa Shakira's Alas Foundation ambao una madhumuni ya maendeleo ya mapema ya watoto wa latin america
Shakira ambae kabla kufika kwake nchini humo, alimtumia zawadi ya guitar rais huyo, na ameongelea azma yake ya kuwasaidia watoto hao kama alivyofanya ktk nchi za Panama na Mexico
shakira ambae alikutana na rais Rouseff kwa muda wa dakika 20 katika tamasha kubwala muziki nchini humo na kuamua kuzungumzia mradi wake wa Shakira's Alas Foundation ambao una madhumuni ya maendeleo ya mapema ya watoto wa latin america
Shakira ambae kabla kufika kwake nchini humo, alimtumia zawadi ya guitar rais huyo, na ameongelea azma yake ya kuwasaidia watoto hao kama alivyofanya ktk nchi za Panama na Mexico
Friday, March 18, 2011
UREMBO: Tobago huenda ikaanda Mashindano ya Urembo ya Dunia!
Mwenyekiti wa kamati ya Miss world bibi Julia Morley amesema kwamba kamati hiyo inazunguka pembe mbali mbali za ulimwengu kwa ajili ya kujaribu kufikiria ni nchi gani ambayo inaweza kuwakaribisha walimbwende 140 wa dunia kwa ajili ya kumpata mkali wao wa 2011.
chifu secretary wa visiwa hivyo bwana orville london amesema kwamba "Tobago ina uwezo mkubwa wa kufanya maajabu ya maandalizi katika tamasha hilo"
chifu secretary wa visiwa hivyo bwana orville london amesema kwamba "Tobago ina uwezo mkubwa wa kufanya maajabu ya maandalizi katika tamasha hilo"
Sunday, March 13, 2011
WAKE UP CALL: Aladdin Ya Juma20 Yaanza kubamba Hewani
Songi Jipya la Mwanamuziki toka visiwani Zanzibar anaetambulika kwa Jina la Juma20 (jay 20) limeanza kuruka hewani katika vituo mbali mbali vya redio hapa Tanzania bara na visiwani.
akilinongoneza Vuvuzela mwanamuziki huyo amesema kwamba Kwa bahati nzuri songi hilo huenda likapigwa picha za video baada ya siku kumi tu tokea kuzinduliwa kwake.
"najiskia mzuka kurudi ktk game... kipindi fulani nilisita kutokana na kua bize na upande mwengine wa maisha yangu binafsi, lkn sasa nimerise up na kitu cha aladdin, naamini ni jay 20 mpya lkn ladha za ukweli kama kawaida yangu" Alitema machache mwanamuziki huyo..
Subscribe to:
Posts (Atom)







