Tuesday, August 9, 2011

KARIBUNI KAMBINI WATOTO WA MJINI...

Ndivyo anavyooneka Miss Tanzania 2010 Genevive akiwakaribisha Vimwana 30 kutoka mikoa na wilaya tofauti Nchini Tanzania ambao wameingia katika jumba la Vodacom ''Vodacom House" ndani ya hoteli ya Giraffe, tayari kwa mafunzo ya kukabiliana na vishawishi mbapo september 10 katika ukumbi wa Mlimani City atachaguliwa mmbora wao ambae atapata nafasi ya kuliwakilisha taifa katika Mashundano ya urembo ya dunia (Miss World 2011) ambayo yanatarajiwa Kufanyika jijini london Uingereza baadae mwaka huu