Thursday, August 11, 2011

MWAJABU JUMA NDIE TOP MODEL WA TANZANIA 2011...

Mrembo Mwajabu Juma amejihakikishia ticket ya kuingia nusu fainali katika mashindano ya kumtafuta Mrembo wa Tanzania 2011 baada ya kushinda taji la Vodacom Miss Tanzania Top model 2011 ambapo aliwabwaga washiriki wenzake wanne walioingia katika tano Bora ya segment hiyo.