Tuesday, August 9, 2011

VIDEO MPYA YA J.20 INANUKIA!!

Video ya mshindi wa tuzo ya Mwanamuziki bora wa Kiume visiwani Zanzibar Juma Tumba, ambae kwa sasa hupenda kujiita ''Lamborgini'' inatarajiwa kutoka katika kipindi cha sikukuu ya Iddy el fitri
Video hiyo ya wimbo wake mpya unaofahamika kwa jina la "Mpaka chini" imepigwa picha na kampuni ya J.M.L Production Chini ya ma  Director mahiri Kabuti na Omi