Mwenyekiti wa kamati ya Miss world bibi Julia Morley amesema kwamba kamati hiyo inazunguka pembe mbali mbali za ulimwengu kwa ajili ya kujaribu kufikiria ni nchi gani ambayo inaweza kuwakaribisha walimbwende 140 wa dunia kwa ajili ya kumpata mkali wao wa 2011.
chifu secretary wa visiwa hivyo bwana orville london amesema kwamba "Tobago ina uwezo mkubwa wa kufanya maajabu ya maandalizi katika tamasha hilo"
