Saturday, March 19, 2011

SHAKIRA ASHIRIKIANA NA RAIS WA BRAZIL KUWASAIDIA WATOTO WA TAIFA HILO

Mwanamuziki machachari toka Colombia shakira, pamoja na rais wa brazil Dilma Rousseff wamejiunga pamoja kuwasaidia watoto wa nchi hiyo katika masuala ya elimu na makaazi bora.
shakira ambae alikutana na rais Rouseff kwa muda wa dakika 20 katika tamasha kubwala muziki nchini humo na kuamua kuzungumzia mradi wake wa Shakira's Alas Foundation ambao una madhumuni ya maendeleo ya mapema ya watoto wa latin america
Shakira ambae kabla kufika kwake nchini humo, alimtumia zawadi ya guitar rais huyo, na ameongelea azma yake ya kuwasaidia watoto hao kama alivyofanya ktk nchi za Panama na Mexico