MAVUVUZELA
NEWZzzz
Tuesday, May 10, 2011
DOGO JANJA: Siachi muziki, shule kama kawa!
Alizaliwa Arusha 1997 katika Hospitali ya Mount Meru. Alisoma Shule ya Msingi Unga Limited na kuhitimu mwaka 2010. Kwa sasa anasoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Makongo.
Newer Post
Older Post
Home