Mkurugenzi wa kamati ya Zanzibar Music Awards (Seif Mohammed Seif) Katikati pamoja na Ramadhan Issa Tua,Ndani ya Studio ya TBC1 kuzungumzia tuzo za Wanamusic Bora toka Zanzibar Zitakazofanyika tar 10-06-2011,kisiwani Unguja.
Seif Mohammed Seif akifafanua jambo ktk studio za TBC1 kuhusu tuzo za Wanamusic wa Zanzibar
