Thursday, May 19, 2011

UVUMI WA MWISHO WA DUNIA WAZIDI KUSAMBAA ULIMWENGUNI

Kwa mujibu wa maandiko ya kitabu cha bibilia ni kwamba tarehe 21 may ndio mwisho wa pirika zote hapa duniani, ila kwa mujibu wa kitabu cha quraan ni kwamba hakitasimama kiama hadi atakaposhuka nabii issa nchini Israel na kutuliza maasi yatakayokua yamepitiliza hapa ulimwenguni, kauli hii ya kwamba tarehe 21 may ndio mwisho wa dunia inazidi kuzua utata kila kona ya ulimwengu imefanya waumini wa dini tofauti tofauti kujiuliza masuali mengi yanayokosa majibu, mabishano kila kona, hofu na kasumba tofauti tofauti
kwa maelezo zaidi tembelea www.ebiblefellowship.com