Friday, May 6, 2011

G-Fulla Ndani ya L.O.V.E


Msanii wa Hiphop Furaha Mwaigomole, (G-Fulla) ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Ndani ya L.O.V.E . Akizungumza na mavuvuzela G - Fulla amesema huo ni mwanzo mzuri ktk kuweka Hiphop katika chart za flava za Bongo