Saturday, May 7, 2011

Sio Sifa kuimba Matusi - Jay20

Akiongea na mavuvuzela, Jay20 amesema "Nimejaribu kuchunguza..,kutafuta ushauri kwa wadau wa muzik nimegundua kwamba wengi kati ya wanaosikiliza musik wa kizazi kipya hawapendi kuskia {DIRTY WORDS}..,Hivyo sina haja ya kutukana ili niskike.."