Mnajimu Mkuu Africa Mashariki Sheikh Yahya Hussein Amefariki Dunia.
Habari zilotufikia zinasema kwamba Sheik yahya aliaga dunia leo asubuhi hapo nyumbani kwake Magomeni jijini Dar-es-salaam
Sheikh Yahya Ambae alianza kazi ya Utabiri katika enzi za ukoloni huko visiwani Zanzbar Baada ya kumtabiria mfungwa mwenzake katika Gereza moja Visiwani humo
amejizolea umaarufu na amewahi kutembelea nchi nyingi za ulaya, asia na America
Taratibu zote za mazishi yake zitafanyika kesho Hapo nyumbani kwake Magomeni
marehemu alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu
marehemu alikua akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu
Mungu Ailaze roho ya marehemu Mahala pema Peponi
Amin
