MD wa Trap na Ali Kiba...ktk kutoa support....
Wadau wengine wa Trap Ent.Wakiwakilisha ktk For Real Show Club Billcanas
For Real Dansaz wakishambulia stage na kostumz za aina yake
For Real Dansaz..wakionekana kama ninja ktk Kostumz za ubunifu zaidi kwenye Tasnia ya Bongo flava.
Ali Kiba...Akipagawisha mashabiki
Abdul Kiba...stage moja na Ali katika kusababisha maujanja ya 'For Real' ndani ya Club Billicanas
Ali Kiba na Mshabiki
Abdul & Ali Kiba ktk Stage...
Wadau wa trap kama kawaida..Ndani ya "For Real' night...Billz










