Wakati binti Kate akiwa bize kumpikia milo mume wake Prince william, nje ya mjengo wao, mapaparazi wamepigwa marufuku kuwasumbua sumbua kwa kuwapiga picha.
ni picha chache tu ambazo zimepatikana tokea wawili hyao walipofunga ndoa wiki chache zilizopita, ambapo majarida mengi ya uingereza yameandika kwamba wawili hao wapo simple tu tofauti na watu walivyofikiria kwamba watakua, kate hupiga jeans na t shirt, wakati bwana harusi amekua akifumwa sana madukani akiwa na t shirt na short pens
