Mwanamuziki mkongwe wa taarab visiwani Zanzibar Mohammed Machaprala ameaga Dunia usiku wa kuamkia jana, mazishi wa Machaprala yalifanyika huko Bambi unguja.
hata hivyo hadi tunaingia mitamboni hatukuweza kupata picha za marehemu baada ya juhudi zote kugonga mwamba.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
mavuvuzela inatoa mkono wa pole kwa wafiwa wote...