Thursday, May 19, 2011

MAALIM SEIF KUMKARIBISHA SHAGGY ZANZIBAR


Makamo wa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Seif Sharif Hamad anatarajiwa kua mgeni rasmi katika ufunguzi wa tamasha la filamu za nchi zenye kutumia usafiri wa majahazi Z.I.F.F ambapo pia atakua mwenyeweji wa mwanamuziki kutoka Jamaica (shaggy) ambae ndani ya usiku wa tarehe 19 july anatarajiwa kuporomosha show ya nguvu kwa mara ya kwanza visiwani humo.