Sunday, April 3, 2011

20% Apata Mialiko...

Twenty Percent a.k.a Abbas Kizansa amesema amefurahi sana kupata tuzo tano na kwamba sasa ametiwa moyo kwa kazi aliyoifanya.