Monday, April 11, 2011

ZANZIBAR MUSIC AWARDS YANUKIA!!!

Tamasha La awamu ya sita la Kumzawadia Mwanamuziki Bora wa Zanzibar Linatazamiwa Kufanyika tarehe 29-4-2011 katika ukumbi wa salama Hall Bwawani Huko Visiwani Zanzibar, Tamasha Hilo linaloandaliwa na Zanzibar Media Corporation, litavipambanisha Vikundi na wasanii mbali mbali wa taarab, Dansi na Muziki wa Kizazi Kipya.