Sunday, April 10, 2011

FAMILIA YA RIHANNA YATOA TAMKO KUHUSU KUKAMATWA KWA CRIS BROWN

Familia ya Rihanna imeweka wazi kwamba Hawana la kusema Kuhusiana na Matukio yaliyomtokezea Binti yao wakati Alipokua na uhusiano na Cris Brown ambao Ulivunjika kwa Kipigo cha cris kwa rihanna kabla ya Tunzo za Grammy.
Bwamdogo wa Rihanna ambae inasemekana ni kipenzi chake Sistaduu huyu husikika mara kwa mara akisema kwamba yeye na baba yake hawaelewi ni kwanini uhusiano huo umevunjika Ghafla wakati Cris Alikua akionyesha mapenzi yote kwa Rihanna, lakini hamshauri dada yake kurudi alipotoka.
jambo pekee walilosema wanafamilia hao ni kwamba "rihanna aachwe aendelee na maisha yake" na kusisitiza kwamba wanawawish wote Good Luck.