Sunday, April 3, 2011

PANCHA YAMUADHIRISHA JAY 20 NA RICO SINGLE

Camera Ya Mavuvuzela wiki hii iliwanasa wakali wa muziki wa kizazi kipya pande za visiwani Zanzibar wakiwa Bize kurekebisha mkweche wao ambao ulipata puncture kati kati ya barabara ya mlandege Block 3 visiwani humo
hata Hivyo haikufahamika mara moja kama Gari hilo aina ya escudo ni la nani kati ya wasanii hao, na lilonekana kuwasumbua kwa takriban robo saa nzima kabla ya kutengenea na kuondoka kwa mwendo wa kasi...Jee kimtoni mtoni ipo hii ya mastaa kugeuka mafundi Garage?