Kundi zima la Zanzibar One Modern Taarab toka Zanzibar pamoja na wasanii mbalimbali wa bongo flava, wanatarajiwa kufanya show ktk mikoa ya Tanga na Dar es salaam wiki yote ya Pasaka ikifuatiwa na Uzinduzi wa Kampuni. Akizungumza na wadau wa muziki,Mkurugenzi wa Trap Entertainment amesema maandalizi yote yamekamilika kinachosubiriwa ni utekelezaji tu..