NAOMI CAMPBELL AWAKA YEYE SI MODEL KAMILI
Mwanamitindo maarufu Duniani mwenye asili ya ki Africa (Naomi campbell) amewajia juu waandishi wa habari kwa kuwaambia kwamba yeye si mkamilifu na anapata hasira pale watu wanapochukulia mabaya yake kama U- Role Model "sikilizeni bwana, mimi sio mkamilifu, nafanya makosa, na najifunza kutokana na makosa yangu, mumeshaniandika sana, munanitia hasira, munawafanya watu nyuma yangu waige mabaya yangu kwa kivuli cha uana mitindo wakati mimi hata sifikirii kama nilikua mwanamitindo mkubwa kiasi ambacho nilitaka niwe"