Sunday, April 17, 2011

Sultan King atua Tmk Wanaume....

Mkari mpya kutoka Tmk Wanaume, akiwakilisha Zanzibar King Sulu, anatarajia kuachia track yake mpya itakayo kwenda kwa jina la Mahari, ikiwa imefanyiwa chini ya Producer Abubakari, katika visiwa vya Karafu ndani ya  studio ya  Capital