Monday, April 4, 2011

Rais wa wasafi afunika Club Billicanas....Mashabiki Waomba apambanishwe na Rais wa Masharo Baro..


 Dimond akipagawisha washabiki wake Club Billicanas Jana...


 Mkurugenzi wa Trap Entertainment ni mmoja wa mashuhuda ktk show hiyo,Mbali na wasanii wengine waalikwa ktk perfomance,kama Hemed na Shetta...Dimond alinyanyua umati wote ktk viti na kuvamia stage.Akifatiwa na Shetta toka DaStamina...

Raisi wa wasafi,a.k.a Dimond..Akimtangaza Chief Kiumbe kuwa Boss wa Wasafi...Mashabiki walimuomba Dimond arudi tena wiki ijayo apambanishwe na Bob Junior a.k.a Rais wa masharobaro....