Tuesday, April 19, 2011

MZEE YUSUF: NADHARAULIKA, NAACHA MUZIKI

The big boss wa Kundi la Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf ‘Mfalme’ (pichani) amesema siku siyo nyingi ataachana na muziki kwa sababu kazi hiyo imemchosha na watu kudharau miondoko hiyo ya mwambao.