Mwanaume Mtanashati zaidi Duniani (Mr. World 2010) au kwa jina jengine "Bwana Dunia" Kamal Ibrahim Mzaliwa wa huko Limerick Ireland amefungua Mradi mpya wa "urembo, utanashani na malengo" huko nchini Korea.
Mradi huo ambao unajihusisha na kuwasaidia watoto wa nchi hiyo ambao wana matatizo mbali mbali ikiwemo magonjwa sugu na ulemavu...haya bwana Kamal...Bongo utakuja lini kufungua mradi kama huu?!
