Saturday, April 30, 2011

Potezea Tundaman,Niite “TUNDANGA”

Tundanga alifunguka kuwa jina hilo aliitwa na mshikaji tu kitaani na kulizimia, So fans wake kwa sasa wa wamuite Tundanga, ambaye kwa sasa yuko Studio ya AM Records chini ya Producer Maneke akipika kutu chake kipya kiitwacho 'Starehe Gharama'