Tuesday, April 19, 2011

Dotnata afanya kufuru, ‘avuta’ Hummer

MSANII matawi ya juu katika tasnia ya filamu Bongo, Husna Mohamed Posh ‘Dotnata’ amefanya kufuru baada ya kutoa ‘burungutu’ kununua‘mkoko’ wa kifahari aina ya Hummer,