Tuesday, April 5, 2011

LADY GAGA AKATAA DIRECTOR WA VIDEO YA "Born This Way"

Mkali wa Pop Kutoka pande za uingereza (Lady gaga) ambae anafanya pirika zake za muziki nchini marekani, amesema kwamba Hataki mtu yeyote aongoze uchukuaji picha za video za wimbo wake mpya wa "Born this way" isipokua yeye mwenyewe, lady gaga anaweka historia ya kua mwanamuziki wa kwanza wa pop Kuongoza video za ngoma zake yeye mwenyewe